-
Hesabu 22:30Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
30 Kisha punda akamwambia Balaamu: “Je, mimi si punda wako ambaye amekubeba maisha yako yote mpaka leo? Je, nimewahi kukutendea hivi?” Balaamu akajibu: “Hapana!”
-