Hesabu 22:31 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 31 Ndipo Yehova akayafungua macho ya Balaamu,+ naye akamwona malaika wa Yehova amesimama njiani akiwa ameshika upanga uliochomolewa. Papo hapo Balaamu akainama chini na kusujudu.
31 Ndipo Yehova akayafungua macho ya Balaamu,+ naye akamwona malaika wa Yehova amesimama njiani akiwa ameshika upanga uliochomolewa. Papo hapo Balaamu akainama chini na kusujudu.