11 “Finehasi+ mwana wa Eleazari mwana wa kuhani Haruni amezuia ghadhabu yangu dhidi ya Waisraeli kwa sababu hakuvumilia ushindani wowote dhidi yangu miongoni mwao.+ Kwa hiyo sijawaangamiza Waisraeli licha ya kwamba ninasisitiza watu waniabudu mimi peke yangu.+