Hesabu 26:57 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 57 Sasa hawa ndio Walawi walioandikishwa+ kulingana na koo zao: kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; kutoka kwa Kohathi,+ ukoo wa Wakohathi; kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari.
57 Sasa hawa ndio Walawi walioandikishwa+ kulingana na koo zao: kutoka kwa Gershoni, ukoo wa Wagershoni; kutoka kwa Kohathi,+ ukoo wa Wakohathi; kutoka kwa Merari, ukoo wa Wamerari.