-
Hesabu 29:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Mtawatoa pamoja na toleo lao la nafaka la unga laini uliochanganywa na mafuta; sehemu tatu za kumi kwa ajili ya ng’ombe dume, sehemu mbili za kumi kwa ajili ya kondoo dume mmoja,
-