-
Hesabu 29:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Mtawatoa pamoja na toleo lao la nafaka la unga laini uliochanganywa na mafuta; sehemu tatu za kumi kwa ajili ya kila ng’ombe dume kati ya wale ng’ombe dume 13, sehemu mbili za kumi kwa ajili ya kila kondoo dume kati ya wale kondoo dume 2,
-