-
Hesabu 30:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 na mume wake alisikia nadhiri yake lakini hakumpinga wala kumkataza, basi ni lazima atimize nadhiri zake au nadhiri yoyote aliyoweka ya kujinyima kitu fulani.
-