-
Hesabu 31:54Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
54 Musa na kuhani Eleazari walipokea dhahabu hiyo kutoka kwa wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na kuileta katika hema la mkutano ili iwe kumbukumbu mbele za Yehova kwa ajili ya Waisraeli.
-