Hesabu 34:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Kwa hiyo Musa akawapa Waisraeli maagizo haya: “Hiyo ndiyo nchi mtakayoigawanya kwa kura na kuimiliki,+ kama Yehova alivyoamuru kwamba makabila tisa na nusu yapewe nchi hiyo.
13 Kwa hiyo Musa akawapa Waisraeli maagizo haya: “Hiyo ndiyo nchi mtakayoigawanya kwa kura na kuimiliki,+ kama Yehova alivyoamuru kwamba makabila tisa na nusu yapewe nchi hiyo.