-
Hesabu 35:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 au kwa sababu ya chuki anampiga kwa mkono na kumuua, ni lazima mtu huyo aliyempiga auawe. Yeye ni muuaji. Mtu anayelipiza kisasi cha damu atamuua muuaji huyo atakapokutana naye.
-