Hesabu 35:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Kisha watu watamwokoa muuaji kutoka mikononi mwa mtu anayelipiza kisasi cha damu na kumrudisha katika jiji lake la makimbilio alimokuwa amekimbilia, naye atakaa humo mpaka kuhani mkuu aliyetiwa mafuta matakatifu+ atakapokufa.
25 Kisha watu watamwokoa muuaji kutoka mikononi mwa mtu anayelipiza kisasi cha damu na kumrudisha katika jiji lake la makimbilio alimokuwa amekimbilia, naye atakaa humo mpaka kuhani mkuu aliyetiwa mafuta matakatifu+ atakapokufa.