-
Hesabu 35:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 kisha mtu anayelipiza kisasi cha damu ampate nje ya mpaka wa jiji la makimbilio na kumuua, mtu huyo anayelipiza kisasi cha damu hatakuwa na hatia ya damu.
-