-
Hesabu 35:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Nanyi hampaswi kuchukua fidia kwa ajili ya mtu aliyekimbilia katika jiji lake la makimbilio na hivyo kumruhusu arudi kuishi katika ardhi yake kabla ya kuhani mkuu kufa.
-