-
Kumbukumbu la Torati 1:1Biblia TakatifuāTafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
1 Haya ndiyo maneno ambayo Musa aliwaambia Waisraeli wote walipokuwa nyikani katika eneo la Yordani, katika jangwa tambarare mbele ya Sufi, kati ya Parani, Tofeli, Labani, Haserothi, na Dizahabu.
-