-
Kumbukumbu la Torati 1:43Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
43 Basi nikaongea nanyi, lakini hamkusikiliza. Badala yake, mliasi agizo la Yehova na kujaribu kwa kimbelembele kupanda mlimani.
-