-
Kumbukumbu la Torati 3:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Lakini wake zenu, watoto wenu, na wanyama wenu tu (najua vizuri kwamba mna wanyama wengi sana) ndio watakaoendelea kukaa katika majiji ambayo nimewapa,
-