-
Kumbukumbu la Torati 4:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 “Sasa, ulizeni kuhusu siku za zamani kabla ya ninyi kuwepo, tangu siku ambayo Mungu alimuumba mwanadamu duniani; tafuteni kuanzia mwisho mmoja wa mbingu mpaka mwisho mwingine wa mbingu. Je, kuna jambo lolote kubwa kama hili ambalo limewahi kutokea au kuna jambo lolote kama hili ambalo limewahi kusikiwa?+
-