Kumbukumbu la Torati 5:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 “‘Wala usimtamani mke wa jirani yako.+ Wala usitamani kwa ubinafsi nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala kijakazi wake, wala ng’ombe dume wake, wala punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.’+ Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 5:21 w12 5/15 7 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 5:21 Mnara wa Mlinzi (Funzo),2/2019, uku. 22 Mnara wa Mlinzi,5/15/2012, uku. 7
21 “‘Wala usimtamani mke wa jirani yako.+ Wala usitamani kwa ubinafsi nyumba ya jirani yako, wala shamba lake, wala mtumwa wake, wala kijakazi wake, wala ng’ombe dume wake, wala punda wake, wala kitu chochote cha jirani yako.’+