-
Kumbukumbu la Torati 6:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Sikilizeni, enyi Waisraeli, na mzishike kwa uangalifu, ili mfanikiwe na kuwa wengi sana katika nchi inayotiririka maziwa na asali, kama Yehova, Mungu wa mababu zenu, alivyowaahidi.
-