-
Kumbukumbu la Torati 11:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 ni nchi inayotunzwa na Yehova Mungu wenu. Macho ya Yehova Mungu wenu yanaitazama daima, kuanzia mwanzo wa mwaka mpaka mwisho wa mwaka.
-