Kumbukumbu la Torati 11:24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 24 Kila mahali mtakapokanyaga kwa mguu wenu patakuwa penu.+ Mpaka wenu utaanzia nyikani mpaka Lebanoni, kuanzia ule Mto, mto Efrati, mpaka bahari ya magharibi.*+
24 Kila mahali mtakapokanyaga kwa mguu wenu patakuwa penu.+ Mpaka wenu utaanzia nyikani mpaka Lebanoni, kuanzia ule Mto, mto Efrati, mpaka bahari ya magharibi.*+