Kumbukumbu la Torati 12:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Mnapaswa kuharibu sehemu zote ambazo watu wa mataifa mtakaomiliki nchi yao wamekuwa wakiabudia miungu yao,+ iwe ni juu ya milima mirefu au kwenye vilima au chini ya mti wowote wenye majani mengi.
2 Mnapaswa kuharibu sehemu zote ambazo watu wa mataifa mtakaomiliki nchi yao wamekuwa wakiabudia miungu yao,+ iwe ni juu ya milima mirefu au kwenye vilima au chini ya mti wowote wenye majani mengi.