- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 12:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
26 Mnapaswa kuleta tu vitu vitakatifu ambavyo ni vyenu na dhabihu zenu za nadhiri mnapokuja mahali ambapo Yehova atachagua.
 
 -