-
Kumbukumbu la Torati 12:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 “Muwe waangalifu kutii maneno haya yote ninayowaamuru ninyi, ili mambo yawaendee vyema sikuzote ninyi pamoja na wana wenu baada yenu, kwa sababu mnafanya mambo mema na yaliyo sawa machoni pa Yehova Mungu wenu.
-