-
Kumbukumbu la Torati 17:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Hivyo moyo wake hautajikweza juu ya ndugu zake, naye hataacha amri hiyo na kwenda kulia au kushoto, ili aendelee kutawala kwa muda mrefu katika ufalme wake, yeye na wanawe katika Israeli.
-