-
Kumbukumbu la Torati 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nabii akisema neno katika jina la Yehova na neno hilo lisitimie au kufanyika, basi Yehova hakusema neno hilo. Nabii huyo alilisema kwa kimbelembele. Hampaswi kumwogopa.’
-