-
Kumbukumbu la Torati 19:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Mnapaswa kugawanya mara tatu eneo la nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa mwimiliki, nanyi mtengeneze barabara ili muuaji yeyote aweze kukimbilia katika mojawapo ya majiji hayo.
-