-
Kumbukumbu la Torati 20:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 “Maofisa pia wanapaswa kuwaambia watu hivi: ‘Ni nani ambaye amejenga nyumba mpya lakini hajaizindua? Na arudi nyumbani kwake. La sivyo, huenda akauawa vitani na mwanamume mwingine aizindue.
-