-
Kumbukumbu la Torati 20:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Na ni nani ambaye amepanda shamba la mizabibu na hajaanza kuvuna matunda yake? Na arudi nyumbani kwake. La sivyo, huenda akauawa vitani na mwanamume mwingine akaanza kuvuna matunda yake.
-