-
Kumbukumbu la Torati 20:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Mnaweza kuharibu tu mti ambao mnajua hautumiwi kwa chakula. Mnaweza kuukata na kuutumia kulizingira jiji linalopigana nanyi, mpaka litakapoanguka.
-