-
Kumbukumbu la Torati 21:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Kisha wazee wa jiji lililo karibu na maiti hiyo wanapaswa kuchukua kutoka kati ya mifugo ng’ombe mchanga ambaye hajawahi kutumiwa kufanya kazi, ambaye hajawahi kuvuta nira,
-