-
Kumbukumbu la Torati 21:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 siku atakapowapa wanawe urithi wake, hataruhusiwa kumtendea mwana wa mwanamke anayependwa kana kwamba ndiye mzaliwa wake wa kwanza na kumpuuza mwana wa mwanamke asiyependwa sana, ambaye ndiye mzaliwa wa kwanza.
-