Kumbukumbu la Torati 22:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 “Ukijenga nyumba mpya, ni lazima pia ujenge ukuta kuzunguka ukingo wa paa lako,+ ili mtu asianguke kutoka kwenye paa nawe uiletee familia yako hatia ya damu. Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 22:8 w01 2/1 4-5 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:8 Ufahamu, uku. 346 Mnara wa Mlinzi,4/1/2013, uku. 102/1/2001, kur. 4-5
8 “Ukijenga nyumba mpya, ni lazima pia ujenge ukuta kuzunguka ukingo wa paa lako,+ ili mtu asianguke kutoka kwenye paa nawe uiletee familia yako hatia ya damu.