-
Kumbukumbu la Torati 22:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 “Hata hivyo, ikiwa mwanamume huyo alimkuta uwanjani msichana huyo aliyechumbiwa na kumkamata kwa nguvu na kufanya naye ngono, mwanamume huyo aliyelala naye atauawa peke yake,
-