-
Kumbukumbu la Torati 23:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kati ya vifaa vyenu mtakuwa na kijiti. Mnapochuchumaa nje, mnapaswa kukitumia kuchimba shimo na kisha kufunika kinyesi chenu.
-