-
Kumbukumbu la Torati 24:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 mume wake wa kwanza aliyemfukuza hataruhusiwa kumchukua tena awe mke wake baada ya mwanamke huyo kutiwa unajisi, kwa maana jambo hilo ni chukizo kwa Yehova. Hampaswi kuleta dhambi katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa kuwa urithi.
-