-
Kumbukumbu la Torati 25:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 jinsi walivyokutana nanyi njiani na kuwashambulia wale wote waliokuwa wakijikokota nyuma mlipokuwa mmechoka na kuishiwa nguvu. Hawakumwogopa Mungu.
-