Kumbukumbu la Torati 28:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Yehova atafanya magonjwa yawaandame mpaka atakapokuwa amewaangamiza kutoka katika nchi mnayoenda kuimiliki.+
21 Yehova atafanya magonjwa yawaandame mpaka atakapokuwa amewaangamiza kutoka katika nchi mnayoenda kuimiliki.+