-
Kumbukumbu la Torati 28:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 “Yehova atayapiga magoti yenu na miguu yenu kwa majipu yenye maumivu makali na yasiyopona, kuanzia nyayo za miguu yenu mpaka utosini.
-