-
Kumbukumbu la Torati 28:57Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
57 wala hata kondo la nyuma linalotoka katikati ya miguu yake wala wana anaozaa, kwa sababu atawala kwa siri kwa sababu ya kuzingirwa kabisa na kwa sababu ya mateso yatakayosababishwa na adui yenu katika majiji yenu.
-