-
Kumbukumbu la Torati 28:68Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
68 Na hakika Yehova atawarudisha Misri kwa meli, kupitia ile njia niliyowaambia hivi kuihusu: ‘Hamtaiona tena kamwe,’ na huko mtalazimika kujiuza kwa maadui wenu ili kuwa watumwa wa kiume na wa kike, lakini hakutakuwa na mtu wa kuwanunua.”
-