-
Kumbukumbu la Torati 32:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Mafundisho yangu yatanyesha kama mvua;
Maneno yangu yatadondoka kama umande,
Kama mvua ya rasharasha juu ya majani
Na kama manyunyu mengi juu ya mimea.
-