-
Kumbukumbu la Torati 32:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Nitailewesha mishale yangu kwa damu,
Na upanga wangu utakula nyama,
Pamoja na damu ya waliouawa na pia mateka,
Pamoja na vichwa vya viongozi wa adui.’
-