-
Yoshua 2:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Ikiwa mtu yeyote atatoka nje ya nyumba yako, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe, nasi hatutakuwa na hatia. Lakini mtu yeyote aliye ndani ya nyumba yako pamoja nawe akifa, damu yake itakuwa juu ya vichwa vyetu.
-