-
Yoshua 2:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Basi wakaondoka na kuelekea milimani, wakakaa huko kwa siku tatu, mpaka wale waliokuwa wakiwafuatia waliporudi. Waliwatafuta katika kila barabara lakini hawakuwapata.
-