-
Yoshua 2:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Kisha wapelelezi hao wawili wakaondoka milimani, wakavuka mto na kwenda kwa Yoshua mwana wa Nuni. Wakamsimulia mambo yote yaliyowapata.
-