-
Yoshua 4:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa hiyo Waisraeli wakafanya kama Yoshua alivyowaamuru. Wakachukua mawe 12 kutoka katikati ya Yordani, kama Yehova alivyomwagiza Yoshua, kulingana na idadi ya makabila ya Waisraeli. Wakayapeleka mahali walipolala usiku na kuyaweka hapo.
-