-
Yoshua 6:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 makuhani saba waliobeba pembe saba za kondoo dume walilitangulia Sanduku la Yehova wakipiga pembe hizo mfululizo. Nao wanajeshi wenye silaha walitembea mbele yao na walinzi wa nyuma walilifuata Sanduku la Yehova huku pembe zikipigwa mfululizo.
-