Yoshua 7:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Na wanaume hao wa Ai wakawaua watu 36, wakawakimbiza kutoka nje ya lango la jiji mpaka Shebarimu,* wakaendelea kuwaua kwenye mteremko. Basi ujasiri wa watu ukayeyuka* na kuwa kama maji.
5 Na wanaume hao wa Ai wakawaua watu 36, wakawakimbiza kutoka nje ya lango la jiji mpaka Shebarimu,* wakaendelea kuwaua kwenye mteremko. Basi ujasiri wa watu ukayeyuka* na kuwa kama maji.