-
Yoshua 8:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Na mara tu mfalme wa Ai alipoona hilo, yeye pamoja na wanaume wa jiji wakaamka mapema na kwenda haraka kupigana na Waisraeli mahali fulani ng’ambo ya jangwa tambarare. Lakini hakujua kwamba kulikuwa na wanajeshi waliokuwa wakivizia nyuma ya jiji.
-